Picha za Pasipoti, Visa na Vitambulisho
Zana za AI na Uhariri wa Akili Bandia
Kazi za Haraka, Vipimo na Kupunguza MB
Ubunifu, Logo na Nakshi
Kubadili Format (JPG, PNG, WEBP, PDF)
Zana za Kitaalamu na Ufundi
Kwa Nini GridPhoto Ni Chaguo la Kwanza Afrika Mashariki na Duniani?
GridPhoto Suite imebuniwa kutatua changamoto za kweli za kidijitali. Iwe unahitaji picha yenye vipimo sahihi vya pasipoti kwa ajili ya mifumo ya serikali (NIDA, RITA, Uhamiaji, Ajira Portal) au unataka kupunguza MB za picha kwa ajili ya mtandao wa simu, zana zetu zinafanya kazi moja kwa moja kwenye simu au kompyuta yako.
Usalama na Faragha ya 100%
Picha zako hazipakiwi wala kuhifadhiwa kwenye server yoyote. Kila kitu kinasindikwa ndani ya kivinjari chako pekee.
Kupunguza MB Bila Kupoteza Ubora
Punguza ukubwa wa picha kutoka 15MB hadi chini ya 200KB tayari kwa kutuma kwenye mifumo ya maombi ya kazi au vyuo.
Vipimo Sahihi vya Kikanda
Imeandaliwa kulingana na viwango halisi vinavyotakiwa na taasisi za umma na binafsi Afrika Mashariki.
Kizumari Technologies
Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies
Suleiman Nassoro Ally (Mhandisi Mkuu wa Programu & CEO)
Zana mpya zinaongezwa kila wiki na Kizumari Technologies. Endelea kutumia!