Language: SW | EN

🎭 Weka Stickers & Emojis Kwenye Picha

Remba na uongeze nakshi kwenye picha zako kwa urahisi na haraka. Mfumo wetu ni salama 100\% kwani kila kitu kinafanyika ndani ya kifaa chako.

😎 πŸ”₯ ❀️ πŸ˜‚ ⚑ πŸ’― πŸŽ‰ πŸ‘‘

πŸ’‘ Ushauri: Gusa au vuta sticker kwa kidole/mouse ili kuipanga sehemu yoyote kwenye picha.

Kwanini Utumie Zana Hii ya GridPhoto?

Zana hii imebuniwa kukusaidia kurembesha picha zako bila uhitaji wa kupakua apk au programu nzito. Kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya HTML5 Canvas, picha yako haitumwi kwenye server yoyote ya njeβ€”kila kitu kinasindikwa moja kwa moja kwenye kivinjari (browser) chako ili kulinda faragha na usalama wako wa kutosha.

Suleiman Nassoro Ally

Mhandisi Mkuu wa Programu & Mwanzilishi

Kizumari Technologies


πŸ”’ Faragha Yako Imetunzwa 100\% Picha zako hazihifadhiwi wala kutazamwa na mtu yeyote. Mfumo unafanya kazi ndani ya simu/kompyuta yako.
⚑ Ubora wa Picha Bado Ni Ule Ule Pakua picha yako iliyowekwa stickers ikiwa katika kiwango kile kile cha ubora bila kufifia.
πŸ“± Inafanya Kazi Kwenye Simu na Kompyuta Imeundwa kurahisisha matumizi ya kioo cha kugusa (touchscreen) na mouse bila usumbufu.