Pakia picha zako za iPhone (.heic) hapa chini ili kuzibadilisha kuwa JPG zenye ubora wa juu bure. Mfumo ni salama 100\% kwani picha haitoki kwenye kifaa chako.
Simu za Apple (iPhone & iPad) huhifadhi picha kwa mfumo wa HEIC ili kuokoa nafasi. Hata hivyo, mifumo mingi kama Ajira Portal, vyuo, na kompyuta za Windows haziwezi kusoma picha za HEIC. Zana hii ya GridPhoto inakusaidia kuzibadili kuwa JPG bila kuzituma kwenye server za nje.
Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies \vert{} Suleiman Nassoro Ally