Lang: SW | EN
💻

HTML & Code Snippet to Image Converter

Tengeneza kadi nzuri za kodi au HTML kwa ajili ya kushiriki kwenye mitandao ya kijamii kama X (Twitter), Whatsapp, Reddit, Quora, Facebook(fb), Jamii Forums(JF), Threads, LinkedIn, na Instagram kwa sekunde chache.

Grid Photo Studio

Tengeneza kadi za kodi na vipande vya HTML kwa muonekano wa kimataifa na kwa haraka sana!

Kwa Nini Zana Hii Inatoa Picha Zenye Ubora wa Juu?

Zana hii inatumia mfumo wa HTML2Canvas Rendering Injini ulioboreshwa (High-DPI Retina Scale Factor) ili kuchukua picha ya msimbo wako bila kupoteza sharp edge za fonti au kuvuruga rangi. Kadi zako zinatengenezwa moja kwa moja kwenye kifaa chako kwa usalama kamili.

🔒 Faragha 100% (Client-Side Processing) Msimbo wako haupakiwi kwenye server yoyote. Kila kitu kinatengenezwa ndani ya kivinjari chako bila kutoa data zako za siri.

Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies \vert{} Mhandisi Suleiman Nassoro Ally

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

❓ Je, ninaweza kutumia HTML na CSS za kawaida? Ndio! Unaweza kuandika au kubandika (paste) vitambulisho yoyote vya HTML na CSS inline styles kisha vitaonekana kwenye kadi yako.
❓ Je, picha inasomeka vizuri ikichapishwa mitandaoni? Ndio kabisa. Injini yetu inatumia Rendering ya 3x Retina Scale ili kuhakikisha picha haioni ukungu (blur) hata ukiiweka kwenye skrini kubwa.
❓ Je, kuna gharama yoyote au alama ya maji (watermark)? Hapana, zana hii ni 100% bure bila watermark au mipaka yoyote ya matumizi.