Zana za Sauti za Kitaalamu Zinazolinda Faragha Yako

Tengeneza, kata, unganisha, punguza ukubwa na badili mifumo ya nyimbo zako moja kwa moja kwenye browser yako. Audio zote hazipakiwi wala kuhifadhiwa kwenye server yoyote!

KIZUMARI ECOSYSTEM:

Uhariri wa Sauti na Zana za Studio

Zana za AI, Maandishi na Sauti

Kubadili Miundo & Kupunguza Ukubwa

Kwa Nini GridAudio Ni Chaguo la Kwanza Afrika Mashariki na Duniani?

GridAudio Suite imebuniwa kutatua changamoto za audio za kila siku. Iwe unataka kubadilisha voice note ya WhatsApp (.opus) kuwa MP3, kutoa kelele za nyuma kwenye sauti ya kikao, au kuchukua maandishi kutoka kwenye audio, zana zetu zinafanya kazi moja kwa moja kwenye simu au kompyuta yako.

Usalama na Faragha ya 100%

Audio zako hazipakiwi wala kuhifadhiwa kwenye server yoyote. Kila kitu kinasindikwa ndani ya kivinjari chako pekee.

Rafiki wa WhatsApp na Simu

Badilisha voice notes za WhatsApp kuwa MP3 haraka na kupunguza MB za sauti tayari kwa kutuma kwenye mtandao.

AI ya Kasi ya Studio

Tenganisha sauti na ala za muziki, safisha mihemko ya kelele, na toa srt au maandishi bila kulipia programu nzito.

Kizumari Technologies

Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies


Suleiman Nassoro Ally (Mhandisi Mkuu wa Programu & CEO)

Zana mpya za audio zinaongezwa kila wiki na Kizumari Technologies. Endelea kutumia!