Tengeneza Subtitles Za Video Zako (Audio to SRT)

Weka faili lako la audio, sikiliza na utengeneze Subtitle yenye muda sahihi kwa ajili ya editi ya video zako.

Weka faili lako la audio hapa au bofya kuchagua

Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, FLAC, OGG

audio.mp3

Sikiliza audio kisha bonyeza kitufe cha kutengeneza subtitle chini.

Kihariri cha Subtitle na Vipindi vya Wakati

Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Suite

Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unaleta suluhisho la kusindika multimedia kupitia kivinjari chako kwa ajili ya waundaji wa maudhui Afrika na duniani kote.

1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)

Tofauti na mifumo ya mtandaoni inayokulazimu kupakia mafaili kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu kupitia kumbukumbu ya kivinjari chako pekee.

2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)

Tunaelewa gharama za bando. Mfumo wetu unakuruhusu kuandaa subtitle ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada za mtandao.

3. Mpangilio Sahihi wa Vipindi vya Wakati

Teknolojia yetu inapanga muda wa sauti kwenda kwenye mfumo rasmi wa SRT unaokubaliwa na programu zote za kitaalamu za video.

Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies Suleiman Nassoro Ally (Mhandisi Mkuu wa Programu & CEO)

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Ndiyo! GridAudio Suite ni bure kwa asilimia mia moja bila malipo yaliyofichwa wala vizuizi vyovyote.

Kabisa hazipelekwi popote. Kila kitu kinafanyika ndani ya kumbukumbu ya browser yako.

Faili zetu za SRT zimesawazishwa vizuri kukubaliwa kwenye Adobe Premiere Pro, CapCut, DaVinci Resolve, na VLC.

Tunapokea MP3, WAV, AAC, M4A, FLAC, OGG, na audio za WhatsApp (.opus).

Mara tu ukurasa unapofunguka, unaweza kutengeneza na kuhariri subtitle yako hata kama intaneti imekatika.