Kiondoa Kelele zisizohitajika (Audio Noise Remover)

Safisha rekodi zako za sauti kwa kuondoa kelele za upepo au minongono ya chinichini moja kwa moja ndani ya simu au kompyuta yako Online.

Weka faili lako la audio hapa au bofya kuchagua

Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, OGG na Sauti za WhatsApp (.opus)

song.mp3

Rudi Kwenye GridAudio Suite

Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Noise Remover

Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unaleta mapinduzi makubwa kwenye uchakataji wa sauti safi kwa ajili ya wananchi wa Afrika.

1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)

Tofauti na mifumo ya mtandaoni inayokulazimu kupakia rekodi zako kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu kupitia kifaa chako chenyewe (client-side processing).

2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)

Tunaelewa gharama za bando hapa nchini. Mfumo wetu unasafisha audio yako ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada.

3. Uchujaji wa Masafa Mengi (Multi-Stage Filtering)

Teknolojia yetu inatumia vichujio maalum vya WebAudio kuondoa miungurumo ya chini na mihemo ya juu ili kutoa sauti ya maongezi iliyo wazi na safi.

Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies Suleiman Nassoro Ally (Mhandisi Mkuu wa Programu & CEO)

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Ndiyo! GridAudio Suite ni bure kwa asilimia mia moja bila malipo yaliyofichwa wala vizuizi vyovyote.

Kabisa hazipelekwi popote. Kila kitu kinafanyika ndani ya kumbukumbu ya browser yako pekee.

Inapunguza kwa ufanisi mkubwa miungurumo ya chinichini (kama upepo au uvumi wa vifaa) na kelele za kizamani za kwenye mic (hiss).

Tunapokea MP3, WAV, AAC, M4A, FLAC, OGG, na sauti za WhatsApp (.opus).

Mara tu ukurasa unapofunguka, unaweza kusafisha sauti zako hata kama intaneti imekatika.