Weka sauti ya WhatsApp (.opus / .ogg) hapa au bofya kuchagua
Inapokea ujumbe wa sauti wa WhatsApp, .opus, .ogg na rekodi zote
Wapi Sauti za WhatsApp (Voice Notes) Zinapohifadhiwa Kwenye Simu Yako?
Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unakusaidia kutafuta na kugeuza sauti zako kwa urahisi. Hapa ndipo WhatsApp zinapohifadhiwa:
1. Kwenye Simu za Android
Fungua File Manager ya simu yako > Internal Storage > Android > media > com.whatsapp > WhatsApp > Media > WhatsApp Voice Notes. Humo utaona folder zenye mafaili ya .opus.
2. Kwenye Simu za iPhone (iOS)
iOS inaficha mafaili ndani ya app. Ili kuzitoa, fungua mazungumzo ya WhatsApp, bonyeza na ushikilie sauti hiyo, chagua "Forward", kisha itume kwenye app ya "Files" au moja kwa moja kwenye tovuti hii kupitia Safari.
3. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)
Geuzi yote inafanyika ndani ya kifaa chako kupitia browser. Sauti zako za faragha za WhatsApp hazisafirishwi kwenda popote.