Lugha / Lang: Swahili | English

🎨 Extract Colors & Pick HEX/RGB from Image

Pakia picha hapa kisha bonyeza popote pale kuchukua namba za rangi za HEX, RGB au HSL chap chap bila stress!

🖼️
Bofya au Vuta Picha Hapa

PNG, JPG, WEBP, GIF (100% Salama kwenye Browser yako)

#8E44AD
rgb(142, 68, 173)
hsl(282, 44%, 47%)

Kwa Nini Zana Hii ya Color Picker Ni Dili Kubwa kwa Wabunifu na Programmers?

Wakati wa kupika tovuti, mabango ya matangazo, au kuandaa kazi za graphics, kupata namba sahihi za rangi (HEX au RGB) kutoka kwenye picha pendwa ni kitu cha muhimu mno. Zana yetu inakupa uwezo wa kuchagua rangi moja kwa moja kutoka kwenye picha yako kupitia browser bila kupoteza muda wala kusafirisha data zako kwenda kwenye seva za nje.

🔒 Faragha na Usalama wa 100% (100% Client-Side Processing) Picha unazoweka zinachakatwa ndani ya simu au kompyuta yako pekee kupitia HTML5 Canvas. Hakuna picha inayotumwa kwenye mtandao, hivyo faragha yako iko salama kwa asilimia mia moja.

Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

❓ Je, ninawezaje kupata kodi sahihi ya rangi kwenye picha? Pakia picha yako kwenye eneo lililotengwa, kisha gusa popote pale ili kuona kodi za HEX, RGB, na HSL papo hapo.
❓ Je, zana hii inazalisha rangi kuu kiotomatiki? Ndiyo! Pindi tu picha inapopakiwa, mfumo unachambua picha na kukupa swatches za rangi kuu zote zilizomo.
❓ Je, huduma hii ni ya bure? Ndiyo, zana hii ni bure kabisa 100% bila kikomo wala malipo ya aina yoyote.