📸
Photo Frames & Profile Badge Studio Pro
Pendezesha picha zako za profile au matukio kwa kuweka fremu za dhahabu, vibandiko vya Polaroid, na badges za kisasa moja kwa moja kwenye kivinjari chako.
Kwa Nini Zana Hii Inatoa Matokeo ya Kitaalamu?
Grid Photo Frame Studio inatumia Vector Canvas Masking Engine inayowezesha picha yako kukaa vizuri ndani ya fremu bila kupoteza Resolution au kukatwa vibaya. Unapata picha ya 1080x1080px HD bila watermark yoyote.
🔒 Usalama na Faragha ya 100% (Client-Side)
Picha yako haipakiwi kwenye server za nje. Mchakato wote unajifanya papo hapo kwenye kifaa chako kwa usalama wa hali ya juu.
Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally
Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)
❓ Je, naweza kurekebisha nafasi ya picha ikiwa haikukaa vizuri?
Ndio! Unaweza kuburuta (drag) picha na kutumia slider ya Zoom hadi ikae katikati unapotaka.
❓ Je, picha itakayopakiwa itakuwa na watermark?
Hapana kabisa. Picha zako zote zitatoka zikiwa safi bila alama yoyote ya maji.
❓ Je, kadi ya LinkedIn #OPEN TO WORK ni rasmi?
Ndio, inafuata vipimo na rangi rasmi za LinkedIn ili kuifanya picha yako ya profile ionekane ya kitaalamu kabisa.