Lang: SW | EN
đŸĒ„

AI Object Eraser Pro

System Tayari! Pakia picha yako kuanza usafishaji.

Bofya au buruza picha hapa

Inasapoti PNG, JPG, au WEBP (100% Salama na Ya Haraka)

Inasafisha na kujaza mandhari kwa ufasaha wa hali ya juu...

Kwa Nini Zana Hii Inafanya Kazi Haraka na kwa Usafi?

Zana hii imesanifiwa mahususi kufanya kazi ndani ya kivinjari chako bila kuhitaji kupakua faili kubwa za AI au kuunganisha na mtandao wa nje. Inatumia algoriti ya Edge-Aware Texture Propagation inayozuia ukungu (blur) na kuacha picha ikiwa na muonekano wa asili.

🔒 Faragha na Kasi ya Kipekee (100% Client-Side Processing) Hakuna picha inayopakiwa kwenye server yoyote. Kila kitu kinajichakata papo hapo kwenye simu au kompyuta yako kwa usalama wa 100%.

Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally

Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)

❓ Inachukua muda gani kufuta kitu? Ni chini ya sekunde moja! Baada ya kupiga brashi na kubonyeza kitufe cha kufuta, matokeo yanatokea mara moja.
❓ Je, inapunguza ubora wa picha? Hapana kabisa. Picha inatunzwa na kupakuliwa katika ubora wake halisi wa asili (Original Resolution).
❓ Je, inatumia intaneti? Hapana. Ukishafungua ukurasa huu, inafanya kazi hata kama hauna bando au upo offline.