Tengeneza muonekano wa picha ya Negative au rekebisha viwango vya rangi kwa kuongeza na kupunguza ugeuzi wa rangi.
Kwa Nini Zana Hii ya Invert Colors ni Nambari Moja?
Zana hii inatumia GPU HTML5 Canvas Inversion Technology inayogeuza RGB pixel values kwa usahihi wa hali ya juu bila kuua sharpness ya picha yako. Inakupa muonekano halisi wa filamu za zamani za Negative kwa sekunde moja tu.
🔒 Faragha 100% (Picha Yako Haiondoki Kwenye Simu Yako)
Hutakiwi kuwa na wasiwasi! Picha yako haipakiwi mtandaoni wala kuhifadhiwa kwenye server yoyote. Kila kitu kinajichakata papo hapo ndani ya browser yako.
Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies \vert{} Mhandisi Suleiman Nassoro Ally
Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)
❓ Invert Color (Negative Effect) ina kazi gani?
Inabadilisha kila rangi kuwa rangi yake ya tofauti (opposite color) — mfano mweusi unakuwa mweupe, na bluu inakuwa ya manjano. Inafaa sana kwa sanaa, kusoma nyaraka vizuri, au kutengeneza picha za kipekee.
❓ Je, ubora wa picha yangu utashuka nikipakua?
Hapana kabisa! Mfumo wetu unapakua picha ikiwa na pixels na dimensions zile zile za picha yako ya asili.
❓ Je, inafanya kazi kwenye simu za mkononi?
Ndio, inafanya kazi haraka sana kwenye Chrome, Safari, au browser yoyote ya simu au kompyuta.