Lang: SW | EN
📱

Badilisha Picha za iPhone (HEIC) kuwa JPG

Pakia picha zako za iPhone (.heic) hapa chini ili kuzibadilisha kuwa JPG zenye ubora wa juu bure. Mfumo ni salama 100\% kwani picha haitoki kwenye kifaa chako.

Picha Zilizokamilika: 0
Kwa Nini Unahitaji Kubadili HEIC kuwa JPG?

Simu za Apple (iPhone & iPad) huhifadhi picha kwa mfumo wa HEIC ili kuokoa nafasi. Hata hivyo, mifumo mingi kama Ajira Portal, vyuo, na kompyuta za Windows haziwezi kusoma picha za HEIC. Zana hii ya GridPhoto inakusaidia kuzibadili kuwa JPG bila kuzituma kwenye server za nje.

🔒 Faragha na Usalama Wako (Client-Side Privacy) Picha zako zote zinabadilishwa hapa hapa kwenye kivinjari chako. Hazipakiwi wala kuhifadhiwa kwenye server yoyote.

Imetengenezwa na Kusimamiwa na Kizumari Technologies \vert{} Suleiman Nassoro Ally

← Rudi Nyumbani (Grid Photo)