🎨
Photo Editor Pro
Kihariri picha cha kitaalamu kinachofanya kazi ndani ya kivinjari chako bila kutumia server za nje au bando. 100% Salama na Ya Haraka.
Kwa Nini Kihariri Hiki ni Chombo Sahihi Kwako?
GridPhoto Editor inatumia teknolojia ya HTML5 Canvas na CSS Graphics Engines kuchakata na kurekebisha picha zako bila kupunguza ubora wa asili (Original Resolution). Zana hii haina matangazo yanayokera wala mipaka ya idadi ya picha unazotaka kuhariri.
🔒 Usalama na Faragha ya Hali ya Juu
Hakuna picha inayopakiwa au kuhifadhiwa mtandaoni. Kila kitu kinachakatwa papo hapo kwenye kifaa chako kwa 100%.
Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies \vert{} Mhandisi Suleiman Nassoro Ally
Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)
❓ Je, inapunguza saizi au ubora wa picha?
Hapana kabisa! Picha yako inahifadhiwa na kupakuliwa katika vipimo vyake vya asili (Original Pixel Dimensions).
❓ Je, naweza kutumia zana hii bila bando?
Ndio! Ukishafungua ukurasa huu mara moja, unaweza kuendelea kuhariri picha zako hata kama upo offline.
❓ Je, kuna gharama yoyote au mipaka?
Hapana, ni 100\% bure bila hitaji la kujisajili au kulipia kifurushi chochote.