Punguza Ukubwa wa Picha (MB kuwa KB) Bila Kupoteza Ubora
Je, mfumo unakataa picha yako kwa sababu ina MB nyingi? Finya picha za JPG, PNG na WEBP hapa bure. Picha zako ni siri yako na hazipakiwi kwenye server yoyote!
Faili Dogo ZaidiUbora wa Juu
Ukubwa wa Awali:0 KB
Ukubwa Mpya:0 KB
0%
Kwa Nini Unahitaji Kupunguza Ukubwa wa Picha?
Mifumo mingi ya kidijitali (kama vile Ajira Portal, NIDA, RITA, Vyuo, na Visa) imeweka mipaka ya ukubwa wa picha—kawaida chini ya KB 200 au MB 2. Zana hii ya GridPhoto inakusaidia kumpunguzia mtandao wako mzigo wa MB na kuhakikisha picha yako inakubaliwa papo hapo bila kuharibu muonekano.
🔒 Salama 100% – Inafanya Kazi Ndani ya Kivinjari ChakoPicha yako haijumbe au kupakiwa kwenye server zetu za nje. Mfumo wetu unatumia teknolojia ya HTML5 Canvas kuisawazisha picha moja kwa moja kwenye simu au kompyuta yako.
Zana Hii Inatunzwa na Kuendeshwa na Kizumari Technologies | Mhandisi Suleiman Nassoro Ally
Maswali Yanayoulizwa Sana (FAQ)
❓ Je, picha yangu itapoteza ubora na kuwa na ukungu (blur)?Hapana! Injini yetu inatumia algorithms za kisasa zinazopunguza MB/KB za faili huku zikilinda usafi na muonekano halisi wa picha yako.
❓ Je, ni salama kuweka picha za nyaraka zangu binafsi?Ndiyo, ni salama 100%. Picha haitoki kwenye kivinjari chako, hivyo hakuna mtu mwingine anayeweza kuiona au kuipata.
❓ Inakubali fomati gani za picha?Zana hii inasaidia kikamilifu fomati maarufu za JPG, JPEG, PNG, na WEBP.