Weka faili lako la audio hapa au bofya kuchagua
Inapokea MP3, WAV, AAC, M4A, FLAC, OGG na Sauti za WhatsApp
Misingi ya Kiufundi na Ubora wa GridAudio Compressor
Imetengenezwa na Kizumari Technologies chini ya usimamizi wa Suleiman Nassoro Ally, mfumo huu unaleta suluhisho la kupunguza ukubwa wa mafaili kwa ajili ya wananchi wa Afrika.
1. Faragha ya 100% (Zero-Server Architecture)
Tofauti na mifumo ya mtandaoni inayokulazimu kupakia mafaili makubwa kwenye seva za nje, GridAudio inafanya kila kitu kupitia kifaa chako chenyewe (client-side processing).
2. Imeboreshwa kwa Ajili ya Bando Kidogo (Low-Bandwidth)
Tunaelewa gharama za bando hapa nchini. Mfumo wetu unapunguza ukubwa wa faili lako ndani ya kifaa chako bila kutumia data za ziada.
3. Upunguzaji Mahiri wa Bitrate (Bitrate Downsampling)
Teknolojia yetu inarekebisha kasi ya sampuli na masafa ya sauti ili kupunguza ukubwa wa faili kwa kiwango kikubwa huku ikihifadhi ueleweka wa sauti.