Kwanini Watu Wengi Sasa Wanageuza Website Kuwa PDF? Siri Ulikuwa Huijui
Mambo vipi wakuu? Leo nataka nikupe faida moja ya bure ambayo madeveloper wengina wafanyabiashara wanaitumia kimya kimya na inawaingizia pesa.
Unaona ile kazi yako uloi-design vizuri kwa HTML? Iwe ni invoice ya mteja, au CV yako, au barua ya biashara, au hata report ya shule... Huwa unafanyaje? Unapiga screenshot? Hapo ndio unakosea.
Watu wajuaji hawa-pigi screenshot. Wanai-geuza moja kwa moja kuwa PDF. Na PDF ndio mfalme.
KWANINI PDF NI MUHIMU KULIKO SCREENSHOT AU WORD?
Kwanza, PDF haiharibiki. Ukimtumia mteja invoice kama picha, akifungua kwenye simu yake inaharibika, maneno yanakuwa blur. Ukimtumia kama Word, anaweza ku-edit na kubadilisha bei. Lakini PDF? Ina-baki vile vile ulivyoitengeneza. Inaonekana proffesional, hai-editiki kirahisi, na kila mtu anaweza kuifungua hata kama hana internet.
Pili, Google na mabenki wanapenda PDF. Ukishapeleka proposal yako kama PDF, inaonekana upo-serious kuliko mtu aliyetuma screenshot ya code.
NANI ANAITUMIA SANA HII KITU?
1. Madeveloper na ma IT. Mteja akikuambia nataka niione invoice itakavyoonekana kabla hujaiweka kwenye system, unamgeuzia PDF ndani ya sekunde 10 unamtumia WhatsApp. Anakuona pro.
2. Wafanyabiashara wa online. Unatengeneza risiti yako ya mauzo kwa HTML halafu unai-print kama PDF kwa wateja wako wa POS, inaonekana kali kuliko ile risiti ya karatasi ya kawaida.
3. Wanafunzi. Umetengeneza project yako ya HTML vizuri, mwalimu anataka uiwasilishe kama faili. Ukiipeleka kama PDF, anaisoma vizuri bila kuhitaji kufungua code yako.
4. Wewe mwenyewe. Umetengeneza kitu kizuri kwenye browser yako, unataka ukihifadhi kwenye simu yako ukirudi ukisome offline, PDF ndio inakaa.
KOSA KUBWA WATU WANALOFANYA
Watu wengi wanadhani kugeuza HTML kwenda PDF ni kazi ngumu ya coding, mpaka usome Python na vitu kama Puppeteer. Uongo. Siku hizi kuna tools za online, una-bandika tu kile ulichotengeneza, unabonyeza kitufe kimoja, na PDF yako inashuka. Hakuna kusakinisha programu, hakuna kulipa.
Na usalama? Zana nzuri kama ya kwetu GridPDF inafuta kila kitu baada ya lisaa limoja, so hakuna mtu atae-iba kazi yako.
HITIMISHO LA MTAANI
Acha kupiga screenshot za kazi zako. Anza kuziheshimu kazi zako kwa kuziweka kwenye PDF. Ina-kupa heshima mbele ya mteja, ina-linda kazi yako isiharibike, na ina-kuokoa muda link ya tool yetu hiyo hapo chini 👇👇👇
https://gridpdf.com/html-to-pdf/
Kesho nitakufundisha jinsi ya kutengeneza invoice inayoweza kugeuka PDF moja kwa moja na mteja akibonyeza tu. Kwa leo, jaribu tu kuona tofauti ya kazi yako kama picha na kama PDF.
Imeandaliwa na Eng.Suleiman Nassoro Ally
Unahitaji kusimamia mafaili yako ya PDF sasa hivi?
Tumia Zana Zetu za Bure